Natafuta kazi in field of Electronics & Telecommunication Engineering

mr green

Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
60
Reaction score
60
Habri wana JF.
Ndugu zangu nina diploma ya Eletronics & Telecommunication Engineering. Nina uzoefu katika installation,maintenance and commissioning of RF and Microwave link katika minara ya simu,pia uzoefu katika installation of security system ie cctv, intercom (PBAX).nk
Waheshimiwa nomba msaada wenu.
 
wahusika wanakuja.
kwanini usiendelee ili upate degree
 
Kwani wewe mpk sasa hivi umeshachukua hatua gani? Telecom na Electronics KAZI zipo nje nje achilia mbali Field Attachment.....kama unashinda Cafe au home kusubia nafasi ikufuate utasubiri sana!!
 
Kwa elimu hiyo check kampuni zote za simu,voda,tigo ,airtel,zantel,na zingine.Pia check kampuni hizi Maktech,Linksoft,ila kama pesa ipo soma Cisco(CCNA) itakuongezea ubora sokoni.Usisahau kutembelea zoom,na kujisajili www.brightermonday.com.Pia wasiliana na jamaa zako wa chuo wakupe michongo usikae peke yako utakufa,mambo tight.
 
sawa nipo tayari kwa mawazo mapya

Fanyia kazi alichosema Aqua utatoka......
 
Last edited by a moderator:
Habri wana JF.
Ndugu zangu nina diploma ya Eletronics & Telecommunication Engineering. Nina uzoefu katika installation,maintenance and commissioning of RF and Microwave link katika minara ya simu,pia uzoefu katika installation of security system ie cctv, intercom (PBAX).nk
Waheshimiwa nomba msaada wenu
.

kwa yeyote mwenye mawazo tuwasiliane katika email hii 0716277818jm@gmail.com
 
Back
Top Bottom