Natafuta kazi/internship property and facilities management

Rakeem

Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
94
Reaction score
12
Habari zenu wakuu? natumai mko poa katika.mimi ni fresh graduate toka uclas(now ardhi university) kozi ndo hiyo property and faclities management degree class lower second.experience kidogo kupitia field attachment nhc.nssf,.please wadau naomba msaada kama kuna mtu anajua kampuni yoyote inayodeal na mambo haya ya real estate management ambayo naweza kupata kazi au kujitolea kwa muda ili nipate uzoefu wa vitendo zaidi.please you can pm
 
Hii kozi yako ni nzuri sana inahitajika sana lakini bado kwa nchi yetu haijapewa kipao mbele, unachotakiwa ni kutokata tamaa na kuendelee kutafuta kazi ila wewe ni mtu muhimu sana for innovations of properties and facillities. all the best .............you can try UDOM i think watakuhitaji sana, niliona matangazo yao hivi karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…