Habari zenu wakuu? natumai mko poa katika.mimi ni fresh graduate toka uclas(now ardhi university) kozi ndo hiyo property and faclities management degree class lower second.experience kidogo kupitia field attachment nhc.nssf,.please wadau naomba msaada kama kuna mtu anajua kampuni yoyote inayodeal na mambo haya ya real estate management ambayo naweza kupata kazi au kujitolea kwa muda ili nipate uzoefu wa vitendo zaidi.please you can pm