Next Elon Musk
Senior Member
- Dec 2, 2019
- 115
- 87
Ni tumir namba zako inboxHabari wadau, mimi ni kijana wa kitanznia umri wa miaka 21, naishi Dar es salaam.
Nina elimu ya stashahada; natafuta kazi kama graphic designer. Nina uzoefu wa miaka miwili nina uzoefu wa designing pia computer skills, marketing, communication skills niko flexible kwenda popote na naahidi kujituma.
Mawasiliano yangu ni: email stalyjay@gmail.com.
Vip unaweza tuma kaz zakoHabari wadau, mimi ni kijana wa kitanznia umri wa miaka 21, naishi Dar es salaam.
Nina elimu ya stashahada; natafuta kazi kama graphic designer. Nina uzoefu wa miaka miwili nina uzoefu wa designing pia computer skills, marketing, communication skills niko flexible kwenda popote na naahidi kujituma.
Mawasiliano yangu ni: email stalyjay@gmail.com.
Mwanangu hayo mavitu yamevurugwa na AI lakini nakutia moyo.Habari wadau, mimi ni kijana wa kitanznia umri wa miaka 21, naishi Dar es salaam.
Nina elimu ya stashahada; natafuta kazi kama graphic designer. Nina uzoefu wa miaka miwili nina uzoefu wa designing pia computer skills, marketing, communication skills niko flexible kwenda popote na naahidi kujituma.
Mawasiliano yangu ni: email stalyjay@gmail.com.
Iyo AI tusiisingizie sanaMwanangu hayo mavitu yamevurugwa na AI lakini nakutia moyo.
nitumie Kazi zako kwenye sibamakambu@gmail.com na CV pia nakuunganisha na mtu yupo arusha
Sawa mkuu nashukuru sananitumie Kazi zako kwenye sibamakambu@gmail.com na CV pia nakuunganisha na mtu yupo arusha
Sijaona mpaka sasa