Natafuta kazi (IT TECHNICIAN)

Natafuta kazi (IT TECHNICIAN)

Lazarus

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
364
Reaction score
91
Natafuta kazi (IT TECHNICIAN)
Mimi ni Kijana wa Kitanzania natafuta kazi kama IT Technician.
Nipo very simple and easy to learn hata kwenye Hard working Environments namudu vizuri
Mshahara siyo mamillioni ni kiasi cha kunitosheleza tu.
Muda wowote nipo tayari.
Contact: 0785155744
email: aziziselemani@gmail.com:confused2:
 
Kiwango cha Elimu baba, usikute ni Diploma ya miezi mitatu!!....
 
Certificate Yangu tu inahusu haya:
Computing Mathematicso Communication and Entrepreneurship skills
o PC Hardware and Software
o Desktop Publishing
o Office Automation I
o Network Operating Systems

o Basic Web Design
o Programming Concepts
o Database Principles
o Office Automation II
 
fresh.. kwani kwa mwezi ni hw much ndugu..:twitch:
 
Dah.... Kuna watu wengine sijui wanaongelea kutoka kwenye makalio yao.
Mtu anatafuta kazi nyie mnamfanyia dhihaka??? Kumbukeni dunia ni duara,


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Back
Top Bottom