Daniel Adrian
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 311
- 326
Ndugu zangu nipo Kahama hapa mambo yameniendea ovyo kabisa. Nimepoteza mtaji wote katika biashara za kimachinga sina hata nauli ya kurudi Mbeya nilipotoka kuja hapa KAHAMA.
Natafuta kazi yoyote ya halali hapa KAHAMA, niifanye kwa miezi miwili hii, mpaka mwezi wa pili ili angalau nipate nauli nirudi nyumbani.
Nipo hapa MALUNGA karibu na sheli ya Nyarugusu.
Nikipata kibarua chochote ntashukuru sana.