Daniel Adrian
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 311
- 326
Asante sanaWatakuja Pm mkuu,Mungu wetu ni mwaminifu
Ndaga fijo gwa kukaja. Nilikuja kizembe mji wa watu nkamu!Kila la kheri mpambanaji wakukaja
Kila la kheri mpambanaji wakukaja
Bora ningeendaga kutafuta maisha Tunduma!Watakuja Pm mkuu,Mungu wetu ni mwaminifu
Bado nafasi unayoBora ningeendaga kutafuta maisha Tunduma!
Kahama una muda gani mkuuNdugu zangu nipo Kahama hapa mambo yameniendea ovyo kabisa. Nimepoteza mtaji wote katika biashara za kimachinga sina hata nauli ya kurudi Mbeya nilipotoka kuja hapa KAHAMA.
Natafuta kazi yoyote ya halali hapa KAHAMA, niifanye kwa miezi miwili hii, mpaka mwezi wa pili ili angalau nipate nauli nirudi nyumbani.
Nipo hapa MALUNGA karibu na sheli ya Nyarugusu.
Nikipata kibarua chochote ntashukuru sana.
Niko hapa toka mwezi wa 2. Nakaribia mwakaKahama una muda gani mkuu
HakikaBado nafasi unayo
Nisaidie nipate hata kazi moja (yoyote ile) basi ndugu yangu si unajua tena sisi sio wazawa hivyo hatuna connectionKahama nyumabi kabsa, mbna KAZI zipo kibao
Koala alipo, ikututulaNdaga fijo gwa kukaja. Nilikuja kizembe mji wa watu nkamu!
Asante sana kwa moyo wako wa kutaka kumsaidia mtu ambae huna udugu wa damu nae.Nauli ya Mbeya shilingi ngapi chief ? Mitaa ya kwangu hiyo na niko likizo naweza kukuchangia kidogo urudi nyumbani.
Asante sana kwa moyo wako wa kutaka kumsaidia mtu ambae huna udugu wa damu nae.
Kiukweli sihitaji kupewa nauli tu, japo hiyo ndio main focus (kuondoka hapa kahama).
Nahitaji ajira tu ndugu yangu.
Kwanini ajira tu ? Kwa sababu dhamiri yangu hainiruhusu kumpa mwingine mzigo wangu mwenyewe.
Nahitaji vitu vingi: kiasi cha pesa (kidogo) cha kuanzia maisha tena pale mbeya, nahitaji kulipa deni la mwenye nyumba wangu maana nimemwambia anivumilie kuna hela ntapata, nimeshakaa mwezi mmoja na siku kadhaa hapa (bila kulipa).
Namna pekee ya kujinasua na kuondoka hapa ni ajira tu.
Asante tena kwa moyo wako.
Pamoja mkuu.Asante sana kwa moyo wako wa kutaka kumsaidia mtu ambae huna udugu wa damu nae.
Kiukweli sihitaji kupewa nauli tu, japo hiyo ndio main focus (kuondoka hapa kahama).
Nahitaji ajira tu ndugu yangu.
Kwanini ajira tu ? Kwa sababu dhamiri yangu hainiruhusu kumpa mwingine mzigo wangu mwenyewe.
Nahitaji vitu vingi: kiasi cha pesa (kidogo) cha kuanzia maisha tena pale mbeya, nahitaji kulipa deni la mwenye nyumba wangu maana nimemwambia anivumilie kuna hela ntapata, nimeshakaa mwezi mmoja na siku kadhaa hapa (bila kulipa).
Namna pekee ya kujinasua na kuondoka hapa ni ajira tu.
Asante tena kwa moyo wako.
Hapo mtaa wa market square na kariakoo kwenye maduka ya jumla huwa wanatafuta wasaidizi wa kuhudumia wateja, unaweza kwenda kujaribu bahati yako.Nisaidie nipate hata kazi moja (yoyote ile) basi ndugu yangu si unajua tena sisi sio wazawa hivyo hatuna connection