kipara01 Member Joined May 18, 2023 Posts 29 Reaction score 44 Jun 15, 2023 #1 Habari za wakati Wana JF, mimi ni muhitimu wa SUA katika FANI ya horticulture nipo natafuta nafasi ya kazi KATIKA FANI husika(kilimo) naishi mkoa wa songwe ila nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote Tanzania Natanguliza shilukrani Napatikana kupitia email yangu: yitzhakedward@gmail.com
Habari za wakati Wana JF, mimi ni muhitimu wa SUA katika FANI ya horticulture nipo natafuta nafasi ya kazi KATIKA FANI husika(kilimo) naishi mkoa wa songwe ila nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote Tanzania Natanguliza shilukrani Napatikana kupitia email yangu: yitzhakedward@gmail.com