Mimi ni kijana nafasi ya kujitolea kwenye kampuni ya clearing and forwarding lengo ni kujifunza pia kupata ujuzi zaidi nimesomea mambo ya clearing and forwarding pamoja na information technology ngazi ya cheti ni mchapa kazi mzuri baada ya kutafuta kazi takribani mwaka wa 3 bila mafanikio sasa nimeona nijitolee huku kupata ujuzi zaidi huku.
Naombeni msahadaa wenu wana jamii furum wa kunisaidia.