Daun Bashike
Member
- Aug 22, 2020
- 40
- 57
Habari ya majukumu wanajamvi? Nipo hapa mbele yenu kuomba fursa ya kazi ama kibarua nipate kusogeza siku mbele, kwa sasa naishi Dodoma ila nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote hapa Tanzania
Elimu yangu ni kidato cha sita 2017 na chuo sikufanikiwa kuhitimu kwa ukosefu wa ada na tangu hapo nimekuwa nikijishughurisha na vibarua mpaka sasa japo kwa sasa kazi hivyo kwa yeyote mwenye kuweza kunipa uelekeo nitashukuru mno
Natanguliza shukrani zangu kwenu 0755-821-826