Natafuta kazi (kibarua)

Natafuta kazi (kibarua)

Habari ya Uzima wanaJF!
Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote Cha halali.

[emoji736]Nna shahada kwenye real estate management (hiki kisiwe kigezo Cha Mimi kupewa kazi)
[emoji736]Najua vema kutumia kompyuta kwenye program zote.

Naishi DSM, Asanteni sana
Habari una maana gani uliposema hiki kisiwe kigezo cha kupewa kazi
 
Hata mimi nimeshtuka na kushangaa sana. Fikiria msomi wa shahada anashindwa hata kujitambulisha na kujieleza juu ya nafasi ya ajira.

Ameshindwa kabisa kujiamini juu ya ujuzi wake na anaona kama hauwezi kumpatia ajira hapa JF.

Ameshindwa kabisa kujieleza kuwa hiyo shahada yake inaweza kumuwezesha kufanya kazi gani na gani na kwa ofisi zipi ziwe binafsi, mashirika au hata miradi ya kiserikali.

Ameshindwa kabisa kuwaeleza watu wanaofanya biashara ya Real Estate umuhimu wa kampuni zao na ofisi zao kuwa na mtaalamu kama yeye.

Ameshindwa kabisa kujieleza vyema kama msomi badala yake anatafuta huruma za watu hapa na kazi za ukiwa na akili timamu. Hili linasikitisha sana, sasa kwanini alienda hiyo shule?

Mleta uzi rudia kuandika kitu kinachoeleweka.
 
Inashangaza zaidi ata post zake nyingine za mwaka huu huu anajitambulisha kuwa ana elimu ya form four,inaelekea amesoma real estate Management ila hakuelewa au haipendi hiyo profession.
 
Basi itakuwa hayupo serious na maisha Mkuu
 
Inashangaza zaidi ata post zake nyingine za mwaka huu huu anajitambulisha kuwa ana elimu ya form four,inaelekea amesoma real estate Management ila hakuelewa au haipendi hiyo profession.
Shida ni kujitambulisha au vp ? Waliojitambulisha vzur mmewasaidiaje ? Help or be silent
 
Back
Top Bottom