I believe on Miracles
Member
- Apr 12, 2023
- 10
- 14
kuna nagas ngap kakaNjoo shekilango kesho saa na nusu ofisi za tigo pale.
0628731833
Nicheki
Kazi kubwa ni kubandika poster street by street. Poster 100 unalipwa elfu 10
Habari una maana gani uliposema hiki kisiwe kigezo cha kupewa kaziHabari ya Uzima wanaJF!
Nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kibarua chochote Cha halali.
[emoji736]Nna shahada kwenye real estate management (hiki kisiwe kigezo Cha Mimi kupewa kazi)
[emoji736]Najua vema kutumia kompyuta kwenye program zote.
Naishi DSM, Asanteni sana
Hata mimi nimeshtuka na kushangaa sana. Fikiria msomi wa shahada anashindwa hata kujitambulisha na kujieleza juu ya nafasi ya ajira.Habari una maana gani uliposema hiki kisiwe kigezo cha kupewa kazi
Inashangaza zaidi ata post zake nyingine za mwaka huu huu anajitambulisha kuwa ana elimu ya form four,inaelekea amesoma real estate Management ila hakuelewa au haipendi hiyo profession.Hata mimi nimeshtuka na kushangaa sana. Fikiria msomi wa shahada anashindwa hata kujitambulisha na kujieleza juu ya nafasi ya ajira.
Ameshindwa kabisa kujiamini juu ya ujuzi wake na anaona kama hauwezi kumpatia ajira hapa JF.
Ameshindwa kabisa kujieleza kuwa hiyo shahada yake inaweza kumuwezesha kufanya kazi gani na gani na kwa ofisi zipi ziwe binafsi, mashirika au hata miradi ya kiserikali.
Ameshindwa kabisa kuwaeleza watu wanaofanya biashara ya Real Estate umuhimu wa kampuni zao na ofisi zao kuwa na mtaalamu kama yeye.
Ameshindwa kabisa kujieleza vyema kama msomi badala yake anatafuta huruma za watu hapa na kazi za ukiwa na akili timamu. Hili linasikitisha sana, sasa kwanini alienda hiyo shule?
Mleta uzi rudia kuandika kitu kinachoeleweka.
Basi itakuwa hayupo serious na maisha MkuuInashangaza zaidi ata post zake nyingine za mwaka huu huu anajitambulisha kuwa ana elimu ya form four,inaelekea amesoma real estate Management ila hakuelewa au haipendi hiyo profession.
Shida ni kujitambulisha au vp ? Waliojitambulisha vzur mmewasaidiaje ? Help or be silentInashangaza zaidi ata post zake nyingine za mwaka huu huu anajitambulisha kuwa ana elimu ya form four,inaelekea amesoma real estate Management ila hakuelewa au haipendi hiyo profession.