Natafuta kazi kuosha magari

Natafuta kazi kuosha magari

clinton gidioni

Senior Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
145
Reaction score
165
Habari wapendwa poleni na majukumu.

Wapendwa kijana wa kuosha magari anatafuta kazi.

Nina uzoefu na nina uwezo wa kuosha gari vizuri kabisha na kutumia mashine mbalimbali. Naishi dsm gongo la mboto ila nipo tayari kufanya kazi mahali popote .

Nina uwezo wa kumshawishi mteja na nina uwezo wa kuzungumza kiswahili na kingereza fasaha.

Napatikana kwa 0694185384
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Moshi tunahitaji mtu wa computer au stationary. Uwasiliane kama bado unahitaji kazi -0717157640
 
Back
Top Bottom