realnumber
Member
- Dec 30, 2019
- 12
- 5
Usiombee kazi ndani pekeake toka pia uende maeneo husika kama viwandani, mashambani nkHabari,
Mimi no kijana umri24 natafuta kazi yoyote
Hususani katika makampuni,viwanda,majumbani, madukani,mashambani
NB: sihitaji mshahara mkubwa
Nichek PM
Nina ujuzi computer application na ufundi umeme.
Mkuu sina connection tatizoUsiombee kazi ndani pekeake toka pia uende maeneo husika kama viwandani, mashambani nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu
Me
Hapo tayari una tatizo!Mkuu sina connection tatizo
Upo mkoa gani!!Habari,
Mimi ni kijana umri24 natafuta kazi yoyote
Hususani katika makampuni,viwanda,majumbani, madukani,mashambani
NB: sihitaji mshahara mkubwa
Nichek PM
Nina ujuzi computer application na ufundi umeme.
Anataka "akale ofisini kwake" labda
TangaUpo mkoa gani!!
Sent using i phone x