Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naitwa Sabrina
Nina miaka 22,
Naishi Dar, Ukonga.
Elimu yangu kidato cha 4
Naongea English na Kiswahili,
Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini.
Tunahitaji mfanyakazi na ofisi yetu ipo Moshi. Kama upo tayari tuwasiliane 0717157640Mimi ni kijana wa miaka 25 Natafuta kazi ya IT nina uwezo mkubwa katika maswala y a DATABASE, NETWORKING NA WEB DESIGNING. Natanguliza shukrani Namba yangu ya simu