Sabryna New Member Joined Jul 24, 2020 Posts 1 Reaction score 1 Jul 25, 2020 #1 Naitwa Sabrina Nina miaka 22, Naishi Dar, Ukonga. Elimu yangu kidato cha 4 Naongea English na Kiswahili, Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini.
Naitwa Sabrina Nina miaka 22, Naishi Dar, Ukonga. Elimu yangu kidato cha 4 Naongea English na Kiswahili, Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini.
KIDTVTC Senior Member Joined Jan 8, 2019 Posts 176 Reaction score 32 Mar 9, 2021 #2 Sabryna said: Naitwa Sabrina Nina miaka 22, Naishi Dar, Ukonga. Elimu yangu kidato cha 4 Naongea English na Kiswahili, Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini. Click to expand... Mfagio said: Mimi ni kijana wa miaka 25 Natafuta kazi ya IT nina uwezo mkubwa katika maswala y a DATABASE, NETWORKING NA WEB DESIGNING. Natanguliza shukrani Namba yangu ya simu Click to expand... Tunahitaji mfanyakazi na ofisi yetu ipo Moshi. Kama upo tayari tuwasiliane 0717157640
Sabryna said: Naitwa Sabrina Nina miaka 22, Naishi Dar, Ukonga. Elimu yangu kidato cha 4 Naongea English na Kiswahili, Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini. Click to expand... Mfagio said: Mimi ni kijana wa miaka 25 Natafuta kazi ya IT nina uwezo mkubwa katika maswala y a DATABASE, NETWORKING NA WEB DESIGNING. Natanguliza shukrani Namba yangu ya simu Click to expand... Tunahitaji mfanyakazi na ofisi yetu ipo Moshi. Kama upo tayari tuwasiliane 0717157640
MomB Senior Member Joined Sep 2, 2020 Posts 193 Reaction score 277 Mar 17, 2021 #3 Mungu atusaidie kwakweli na mimi nahitaji kama hvo
KIDTVTC Senior Member Joined Jan 8, 2019 Posts 176 Reaction score 32 Mar 17, 2021 #4 Kuna kazi ya kupikia wanafnzi na usafi wa ofisini wasilina nasi 0717157640