Habari wakuu,
Mimi ni msichana wa kitanzania ninaomba mwenye ndugu au hata mtu wa karibu ambaye anahitaji mfanyakazi iwe ni baby sister au hata house girl MAREKANI aniunganishe, Mimi nipo pia naongea Kiswahili na Kiingereza vizuri, maisha magumu sana jamani ,pia ajira ngumu sana kupata.
Asanteni nawasilisha.