Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

Nakushauri ungeweka hata barua pepe, kama hautojali kufahamika. Wengine wasingependa ID zao zijulikane au wakudhamini kwa mtu anayeweza kukupa kazi.
shukrani mkuu kwa ushauri, naufanyia kazi sasa hivi.
 
Unatafuta kazi au mshahara?
 
Kichwa nimeandika: NATAFUTA KAZI, MSHAHARA UWE LAKI MOJA.

Ufafanuzi. Natafuta kazi, ambayo mshahara wake uwe ni laki moja.
Ameni uwezo wako,Weka uwezo wako,Kazi utapata.Mshahara utaongea na mwajiri.Ajira sio huruma ni fursa.
 
'Leo tena' .... Hili Jina linafanana Na Kipindi cha Radio Fulani hivi kimejaa Umbea Umbea.....!
Siku nyingine ili kujenga imani tumia Jina Fulani la kistaarabu.
 
Mkuu nenda kampuni ya ASA microfinance upeleke CV yako pale sasa hivi wako Upanga kazi nyingi pale ni afisa mikopo na wanachukua sana walimu mishahara yao ni mara 5 ya hicho kiwango ulichotaja hapo, kwa kuanzia siyo mbaya ukisubiria kazi ya ndoto yako, all the best.

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…