Natafuta kazi mtaalamu sina cheti chochote

Natafuta kazi mtaalamu sina cheti chochote

najivuagamba

New Member
Joined
Jul 24, 2011
Posts
4
Reaction score
2
natafuta kazi lakini sina cheti chochote cha ujuzi lakini naweza kwa asilimia mia 100% kazi karibu zote zinazo husiana na computer:-1.computer repair 2.graphics design 3.video editing music na movie 4. Ninaujuzi wa vitu hivi vyote sina hakika pengine mwenye shada moja hanigusi, kwani wengi huitaji msaada toka kwangu tatizo sikubahatika kumaliza elimu wakati na soma kutokana na ugumu wa maisha kwa wazazi. Mwenye kunisaidi nitashukuru sana mika 27 elimu form 3 mwaka 2006(..

Duh!nyie ndo mnaitwa makanjanja..
 
nenda kwa wahindi,ndio wanapendaga watu kama nyie ili wawalalie!salary kidogo na matusi mengi!ila jiandikishe ufanye paper ya form 4 itaku help zaidi!
 
Hebu jaribu kuwasiliana na mbunge wako anaweza kukusaidia.nakushauri ungeomba mtaji wa kujiajiri achana na mambo ya kuwa yaya!
 
Hebu jaribu kuwasiliana na mbunge wako anaweza kukusaidia.nakushauri ungeomba mtaji wa kujiajiri achana na mambo ya kuwa yaya!
kwa hyo unataka mbunge wake akamnunulie vyeti au?
 
Mi nafikiri hapo ulipo fika sio pabaya,ongeza juhudi utashinda
 
cheti si uwezo bana. kila la kheri.nakushauri uombe ku-volunteer mahali ili uwa-trick into proving urself.all the best
 
natafuta kazi lakini sina cheti chochote cha ujuzi lakini naweza kwa asilimia mia 100% kazi karibu zote zinazo husiana na computer:-1.computer repair 2.graphics design 3.video editing music na movie 4. Ninaujuzi wa vitu hivi vyote sina hakika pengine mwenye shada moja hanigusi, kwani wengi huitaji msaada toka kwangu tatizo sikubahatika kumaliza elimu wakati na soma kutokana na ugumu wa maisha kwa wazazi. Mwenye kunisaidi nitashukuru sana mika 27 elimu form 3 mwaka 2006(..
Hongera kwa kuwa mkweli Mkuu! Tupo wengi tunajua kazi lakini hatuna vyeti. Ila nakushauri pigana vita vya mwisho upate mtaji ujiajiri. Binafsi ndo nipo ktk hatua ya mwisho nitajiajiri punde..! Kaza buti Mkuu!
 
Omba kwenye private sector au jiajiri mwenyewe..serikalini huwezi kupata bila vyeti hata kama ungekuwa unaweza kuendesha ndege...
 
Fanya kazi kaka jiajiri mwenyewe wewe unafanya graphics halafu kuajiriwa, mbona uchumi unao halafu unaukalia, kama. Huna vyeti sio mwisho wa maisha, kuna watu kibao wana vyeti lakini output zero na hiyo ni kwenye fani zote, si unaona jinsi wasomi wetu wanavyo sign mikataba ya ajabu na mivyeti yao. Unahitaji vitu vitatu tu kufanikiwa, Confidence, Competence & Commitment. Nimesoma mtu mmoja amekuita kanjanja achana nae, mimi ni designer pia sina cheti chochote wala sijawahi kusoma shule yoyote ya graphics, lakini nimefanya kama production supervisor kwenye media houses kubwa nikiongoza timu za watu not less than 20 kwenye studio, na nimefanya kazi nzuri huku nikiwa panelist kwenye interviews za hao wenye vyeti, sasa hivi nimejiajiri. Kaza buti mvuagamba.
 
me pia nipo katika hali kama yako...!!! Cha msingi ninachofanya nipo katika mchakao wakujiajiri... Kama vip we can work together... And who knows..? Mayb after some time tutakuwa ka kina Bill Gates na Paul Allen... Hahaha..Cha msingi never give up.. Lets keep in touch...
 
Mkuu(najivuagamba) nimependa ulivoji-market,infact kama wewe mwenyewe unajikubali kuwa ni mtaalamu wa ukweli na si mbabaishaji,basi naomba uni-PM namba yako ya simu na ntakutafuta,hivi sasa nipo nje ya nchi na nategemea kurudi baada ya wiki tatu. Habari ya vyeti sio issue na wala usijali kama kweli kazi unaiweza.
 
me pia nipo katika hali kama yako...!!! Cha msingi ninachofanya nipo katika mchakao wakujiajiri... Kama vip we can work together... And who knows..? Mayb after some time tutakuwa ka kina Bill Gates na Paul Allen... Hahaha..Cha msingi never give up.. Lets keep in touch...
Yeah that is good. Huu ndio mchango tunaotaka
 
Hahaa, i like this! Kosa kubwa unalofanya ni KUOMBA AJIRA!...naamini kwa muda wote huo ulio2mia kupata uzoefu utakuwa tayari una mtaji wa kutosha, kwa ujuzi ulionao; mtaji wa laptop 1 tu unakutoa ndani ya mwaka mmoja (kama kweli una ubunifu wa kutosha).
 
Back
Top Bottom