Mamndenyi yaani huku kuku wa kienyeji wako bwelele na sato na Sangara pia wapo tena catch of the day hakuna kulazwa kwenye deep freezer mpaka wanuke shombo
Mamndenyi yaani huku kuku wa kienyeji wako bwelele na sato na Sangara pia wapo tena catch of the day hakuna kulazwa kwenye deep freezer mpaka wanuke shombo
Nilikuwa Nyegezi kukamilisha research yangu kuhusu magugu maji yanayotishia uhai wa ziwa Victoria....Hebu nambie koma!!! Ndo kusema ushanogewa na totoz za kisukuma???? Ndo maana siku mbili hizi.ulitutosa kumbe mtoto wa kisukuma alikaba mpaka penati lolest!!!!!
Chezeiya The Rock City wewe.....
Kwi kwi kwi kwi kwiiiii!!!!Chezea wasukuma wewe,ndo maana huyu mdingi hapatikani,kumbe kaonjeshwa supu ya sato furesh!
'
Angalia usituachie kopi ukaanza kutafutwa mzee!Lol!
'
Hivi makoroboi umetembelea?
Nitakutumia UNGO uje uhakikishe ma utam ya Rock City!
Tuache uongo, mji wa Mwanza una vivutio nyie acheni tu. hebu angalieni mandhari ya ufukwe wa ziwa Victoria unavyovutia...! charminglady, Elizabeth Dominic, Nicas Mtei, Chimbuvu, Eiyer, Judgement hebu nipeni michongo nipate kutulizana jijini Mwanza aisee......
Nilikuwa Nyegezi kukamilisha research yangu kuhusu magugu maji yanayotishia uhai wa ziwa Victoria....
Nipo na leo lazima tule bata kabla sijaondoka Mwanza, lakini hala hala, hebu nifanyie mipango ya kazi hapo ofisini kwenu haya ya TEA MAKER niko tayari kufanya my Pal........