Natafuta kazi/nahitaji kazi yeyote ambayo haivunji sheria za mungu na haivunji sheria za nchi

Natafuta kazi/nahitaji kazi yeyote ambayo haivunji sheria za mungu na haivunji sheria za nchi

Point of No Return 19

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2023
Posts
203
Reaction score
472
Hello wapendwa,Mimi ni binti Nina miaka 26

Ninaishi Dar es salaam

Natafuta kazi/Nahitaji kazi yeyote ambayo HAIVUNJI SHERIA ZA MUNGU na HAIVUNJI SHERIA ZA NCHI

Nina certificate ya (Medical attendant)

Hivyo hata Kama ipo ya inayofanana na hiyo fani yangu pia sawa.

Naenda mkoa wowote kazi itakapo patikana

AHSANTENI
 
Sheria za Mungu na za nchi!

Bila shaka utakuwa hujaolewa!

Na nina uhakika pia SIO BIKIRA!

Leta story zingine, Mungu achana nae.
 
Hello wapendwa,Mimi ni binti Nina miaka 26

Ninaishi Dar es salaam

Natafuta kazi/Nahitaji kazi yeyote ambayo HAIVUNJI SHERIA ZA MUNGU na HAIVUNJI SHERIA ZA NCHI

Nina certificate ya (Medical attendant)

Hivyo hata Kama ipo ya inayofanana na hiyo fani yangu pia sawa.

Naenda mkoa wowote kazi itakapo patikana

AHSANTENI
Km ni muongeaji jichanganye kwenye umc
 
Back
Top Bottom