Natafuta kazi, ni mhitimu wa stashahada ya afisa tabibu (clinical officer)

Natafuta kazi, ni mhitimu wa stashahada ya afisa tabibu (clinical officer)

Mkoba wa Mama

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2021
Posts
208
Reaction score
91
Mimi ni kijana wa Kitanzania, nina umri wa miaka 25, elimu yangu ni stashahada ya utabibu, ninatafuta nafasi ya kazi, ninao utayari wa kufanya kazi mkoa wowote, iwe ni katika vituo vya kutolea huduma za afya (hospitali, vituo vya afya au zahanati), mashirika ya umma au binafsi au katika taasisi za elimu.
Nipo tayari kuanza kazi mda wowote ule nitakaohitajika.
 
Cheki website ya ndanda! Alafu jitahidi kutembelea website za hospitali za private chukua email zao tuma cv zako! Ukituma hospitali kumi huwezi kosa hata moja! Nimetumia system hii sijawahi kukaa bila ajira!
 
Back
Top Bottom