Natafuta kazi , nimehitimu BBA- marketing

omusimba

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
310
Reaction score
78
jamani ninaomba msaada wa kupata kazi , nimezunguka mpaka viatu vimeishia visigino. Natanguliza shukrani.
 
Usikate tamaa,pambana.Kukata tamaa ni dhambi isiyosameheka!
 
marufuku kukata tamaa pliz!!!! Muombe Mungu wako atakujaalia kazi nzuri tukwani cheti hakimuangushi mtu...
 
Kazi utapata fanya sana muombe sana Mungu na wakati huohuo endelea kuwa mtafiti wa taarifa za nafasi zinazotangazwa na we tuma popote pale kwani utakuwa unaendelea kupata uzpefu wa interview usiwe unavunjika moyo pale unapokosa.hata mimi natafuta kazi lakini bado sijakata tammaa na katika maisha yangu huwa siamini kwamba nikisoma nitakosa kazi ,isipokuwa muda wa kupata kazi unaweza ukachelewa ila lazima utapata tu kaka .Mungu akutangulie na usimtegemee mwanadamu kamwe maana hubadilika ila mUnug habadiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…