Natafuta kazi, nimehitimu Diploma ya Utawala

Natafuta kazi, nimehitimu Diploma ya Utawala

King David133

New Member
Joined
Jun 2, 2021
Posts
4
Reaction score
3
Habari za humu wana JamiiForum,

Naitwa David (23), mkazi wa Arusha kwasasa Dar es salaam, kimara

Nimhitimu wa diploma kwenye biashara na utawala.

Dhumuni la kuandaa post hii kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu nahitaji kazi yoyote halali (kuuza duka la nguo, vyombo, vifaa vya ujenzi, Dawa, saloon, stationary, hotel, nk)

Nina ujuzi wa computer. Pia nina fani mbali mbali kama vile photographer, logo maker , posters creation

Niko tayari kufanya kazi sehemu yoyote.
Nipo tayari kuwasikiliza,
Asanteni sana.
0622361889
 
Back
Top Bottom