Natafuta kazi, nimemaliza Kidato cha sita

Natafuta kazi, nimemaliza Kidato cha sita

Chiclette

Senior Member
Joined
Feb 17, 2024
Posts
133
Reaction score
222
Mimi ni kijana wa kiume miaka 21 Nina elimu ya form six

Nimeshindwa kujiendeleza na masomo mwaka jana maana nilikosa mkopo

Hivyo basi natafuta kazi yoyote maana nilikokuwa nimejishikiza mwenyewe amefunga

Napatikana kwa 0622905303
 
Aisee maisha ni magumu haswa Sina a Wala b na Wla sijui nakoelekea nimemaliza kidato Cha sita 2023 na kushindwa kuendelea na masomo. Hata nikisema nianzee biashara mtaji Sina, hivyo basi kazi yoyote halali nafanya.

Naomba kazi tafadhali au hata kama Kuna mtu ana connection ya kazi za viwandani nafanya
0622905303
 
Back
Top Bottom