Natafuta kazi, nimesoma Human resources

Natafuta kazi, nimesoma Human resources

Multaza Hr

Member
Joined
Jan 10, 2025
Posts
83
Reaction score
182
Habari ya Jumapili wana JF.

Natafuta ajira/Kazi nimesomea Human resources Kwa level ya degree.

Nipo tayari kufanya Kazi mkoa wowote

Kuhusu Mimi
-Mchapa Kazi
-Mtu wa kutoa matokeo
-Na mbunifu.

Pamoja na kuwa nimesomea human resources Ila ndani yake naweza kufanya Kazi Kama, Marketing officer, supervisor, Storekeeper attendant.

Kwa mwenye uhitaji wa mtu Kama Mimi naomba tuwasiliane kupitia namba hii.

0783850502
 
Back
Top Bottom