Natafuta kazi, nimesoma Sociology

Natafuta kazi, nimesoma Sociology

Hello wadau,

Mimi ni mdada nimehitimu Sociology nina uzoefu wa kutosha kwenye kazi za Social Work kwa zaidi ya miaka kumi.

Kwa yeyote mwenye connection ya kazi Mwanza anisaidie.

Asante
Kuna nafasi za Kazi Chuo cha Mipango wanahitaji Tutorial Assistant, upo tayari..!?
 
Back
Top Bottom