"Kazi yeyote"
Asante kwa kunipa moyoSawa
Hapa Hapa Utapata Connection Pia Dodoma Serikali Ilikohamia
SawaNipigie simu 0737 555522 nikupe connection. Niko serious...
Nipigie simu 0737 555522 nikupe connection. Niko serious...
Mrejesho kama umefanikiwa.Asante dada kwa kunipa connection ubarikiwe sana.
Yes, nimefanikiwa. Naye atafute bila kuchoka atapata tuMrejesho kama umefanikiwa.
Maana kuna ndugu yangu mmoja nae alikuwa Hotel moja hapa Arusha yupo home tu.
Dah hongera sana dada.Yes, nimefanikiwa. Naye atafute bila kuchoka atapata tu
Ongera sana aya kachape kazi sasaYes, nimefanikiwa. Naye atafute bila kuchoka atapata tu
Karibu sana, Mungu akutangulie kwenye kazi mpya. Mengi tumeongea, kikubwa ni kuchapa kazi tu. Tuwaombee ndugu zetu wa JF wakupe support, pale inapowezekana.Asante dada kwa kunipa connection ubarikiwe sana.
Tuombe uzima. Tupia CV yake hapa tuione, tukipata wahitaji tumuunganishe.Dah hongera sana dada.
Mungu alikuwa pamoja na wewe na jihesabu ni mtu mwenye bahati sana kwenye hii dunia.
Wewe umefanikiwa kwa urahisi kuna wengine huwa wanajieleza kutafuta kazi matangazo yao yanazagaa mwezi mzima wanaishia kukejeliwa tu.
Tuombe uzima. Tupia CV yake hapa tuione, tukipata wahitaji tumuunganishe.
Tunasadiana kutokana na kile alichosomea.kwenye fani zipi unapokea?
Tuna group telegram la vijana kama 1000 wanatafuta kazi,so sijajua tutawasaidiaje?Tunasadiana kutokana na kile alichosomea.
Ni vizuri Kama vijana mfikie muafaka wa kubadilisha kufikiri ili muendane na Hali halisi iliyopo. Covid-19, imeweka wazi kwamba Kuna ajira nyingine zinawezekana zisiwepo watu wakafanya kazi kutoa majumbani mwao Kama ninavyofanya Mimi Sasa hivi.Tuna group telegram la vijana kama 1000 wanatafuta kazi,so sijajua tutawasaidiaje?
Ni vizuri Kama vijana mfikie muafaka wa kubadilisha kufikiri ili muendane na Hali halisi iliyopo. Covid-19, imeweka wazi kwamba Kuna ajira nyingine zinawezekana zisiwepo watu wakafanya kazi kutoa majumbani mwao Kama ninavyofanya Mimi Sasa hivi.
Kama una group la watu mia, jaribu kuwaweka kwenye vikundi kutokana na fani zao, washauri waandike mradi wanaoweza kuufanya kigrupu then tujaribu kuwatafutia watu wanaoweza kuwapa mitaji wakafanya biashara au kazi inayoweza kuwaingizia kipato.
Ndugu zangu kazi za kuajiriwa zimeota mbawa. Tukioko maofisini tuko nusu kwa nusu...hatma haijulikani, tunaandaa mazingira ya kujiajiri.
Ina maana Corona bado haijaisha nchini kwetu.
Anyway umeongea jambo la msingi sana hata sisi kwa group tuliongea kuanzisha projects hizo za vikundi lakini kabla hatukwenda mbali kwenye hiyo discussion tukajiuliza if tukipata hizo projects proposals mbalimbali ni nani atatuwezesha kupata capital ili kurun hizo projects?tukakosa majibu tukaishia hapo.
Labda ukitusaidia kupata msaada wako mkuu wa mwongozo on how and where to get the capital?
Utakuwa umetufikisha mbali sana.
Corona iliisha siku nyingi, Ila makampuni mengine yana utaratibu wake ndio Mana bado tuko majumbani.
Kikubwa ninachoona hapo ni watu kuwa responsible, Mimi Nina Tabia moja ya kuchonoa Mambo. Baadabyankuongeq hivyo nilijuanutwnipa feedback ya benki ngapi unezitembelea na wazo lako na majibu uliyopewa. He ni mradi wenye ukubwa gani ambao mpaka sasa mmeujadili na kuufanyia assessment wapi muuzungushe mpate hela.
Ninaamini sio wote tuna uwezo wa kufungua biashara, naamini kwamba unaweza jiattach kwenye biashara ya mtu mkakubalia kila utakapopeleka mteja/wateja atakupa kiasi gani?
Vijana mnahitaji mtaji wa ubunifu sio hela. Connection zinatafutwa, ukihitaji msaada wangu zaidi kwa ushauri na maelekezo, napatikana kwenye namba hiyo hapo. Nicheki kwa text message.
Uje na mikakati Jenga, Nini unataka nikusaidie, ki