Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

Natafuta kazi nimesomea fani ya umeme

AbdurRahman

Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
11
Reaction score
10
Habari!

Natafuta Ajira nimesomea uhandisi wa Umeme 'MUST', nimemaliza mwaka 2019. kazi yoyote ya Umeme nipo tyr kufanya hata Kama ni wiring n.k,,, Kwasasa napatikana Morogoro 'Msamvu', Nahitaji msaada wenu nipate japo connection niapate kazi ya kusogeza maisha.

Simu 0654409392
 
Mbona unaandika kama unakimbizwa? namba hujaweka, level ya elimu hujaweka, uzoefu wako hujaweka, unaweza fanya kazi kwenye field gani pia hujaweka!! Au mpaka uombwe uweke ndio uweke? Mkuu uko serious kweli?
 
Jaribu pia kucheck Kama Kuna mradi wowote ule ndani au nje ya halmashauri uliyopo.

Na uwe mtu wa kujichanganya/kujiattach na kua tayari kujitolea upatapo fursa ya kushiriki mradi/kazi yoyote inayoendana na professional yako.

NB: kua na ujasiri wa kuonana na hao mameneja wa miradi na kubadilishana nao mawazo kwa lengo la kupata nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unaandika kama unakimbizwa? namba hujaweka, level ya elimu hujaweka, uzoefu wako hujaweka, unaweza fanya kazi kwenye field gani pia hujaweka!! Au mpaka uombwe uweke ndio uweke? Mkuu uko serious kweli?
Mkuu; Nimeandika In short na km ukisoma vzr hayo uliyoyauliza yapo kasoro uzoefu: okay
Nimemaliza Mbeya University of Science and Technology course ni bachelor degree of Electrical and electronics Engineering mwaka 2019;
Ninauzoefu wa field TANESCO na viwandani na Wiring za majumbani pia nafaham; Pia baada ya kumaliza nimefanya kazi kwa kujitolea kwenye kiwanda Cha MW rice Miller hapa Morogoro kwa muda wa miez 4,,,,nimeacha hapo kutokana na ugumu wa mazingira ya kazi walikuwa hawanilipi hata Mia,,,,kwasasa nipo mtaani Sina kazi yyt natafuta,,
 
Samahani umetokea diploma au six?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Samahani umetokea diploma au six?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Samahani kwa kuingilia uzi wa bwana Mkubwa ila kama utawiwa kunisaidia pia namm ntashukuru mimi pia natafuta ajira walau nipate chochote Nina diploma ya umeme nimemaliza muda kidgo.
 
Naam kaka bila samahan....Wote ni Wahanga hakuna tatizo!
 
Back
Top Bottom