dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
umemaliza diploma mwaka gani,Samahani kwa kuingilia uzi wa bwana Mkubwa ila kama utawiwa kunisaidia pia namm ntashukuru mimi pia natafuta ajira walau nipate chochote Nina diploma ya umeme nimemaliza muda kidgo.
una experience na umeme wa viwandani (machines/control systems)?