AbdurRahman
Member
- Feb 27, 2019
- 11
- 10
Wew ni kilazaHebu eleza kwa kifupi corona effect inatokea vipi kwenye umeme? kwa kujibu hilo swali nitajua kweli umeiva kwenye tasnia hiyo.
Hebu jaribu kufikiri kabla ya kutenda.Hebu eleza kwa kifupi corona effect inatokea vipi kwenye umeme? kwa kujibu hilo swali nitajua kweli umeiva kwenye tasnia hiyo.
Mbona unaandika kama unakimbizwa? namba hujaweka, level ya elimu hujaweka, uzoefu wako hujaweka, unaweza fanya kazi kwenye field gani pia hujaweka!! Au mpaka uombwe uweke ndio uweke? Mkuu uko serious kweli?Habari!
Natafuta Ajira nimesomea uhandisi wa Umeme 'MUST', nimemaliza mwaka 2019. kazi yoyote ya Umeme nipo tyr kufanya hata Kama ni wiring n.k,,, Kwasasa napatikana Morogoro 'Msamvu', Nahitaji msaada wenu nipate japo connection niapate kazi ya kusogeza maisha.
Simu 0654409392
Jaribu pia kucheck Kama Kuna mradi wowote ule ndani au nje ya halmashauri uliyopo.Habari!
Natafuta Ajira nimesomea uhandisi wa Umeme 'MUST', nimemaliza mwaka 2019. kazi yoyote ya Umeme nipo tyr kufanya hata Kama ni wiring n.k,,, Kwasasa napatikana Morogoro 'Msamvu', Nahitaji msaada wenu nipate japo connection niapate kazi ya kusogeza maisha.
Simu 0654409392
wenye fani yao wanafahamu na kama mtoa mada yupo vizuri ataleta majawabu 'corona 'kwenye umeme ipo .Na kama akishindwa nitamsaidia kujibu
Is the process in which the air around the conductor get ionized which results luminous glow with hissing noise.Hebu eleza kwa kifupi corona effect inatokea vipi kwenye umeme? kwa kujibu hilo swali nitajua kweli umeiva kwenye tasnia hiyo.
Ushindwe ww ss kunipa mchongoIs the process in which the air around the conductor get ionized which results luminous glow with hissing noise.
Mkuu; Nimeandika In short na km ukisoma vzr hayo uliyoyauliza yapo kasoro uzoefu: okayMbona unaandika kama unakimbizwa? namba hujaweka, level ya elimu hujaweka, uzoefu wako hujaweka, unaweza fanya kazi kwenye field gani pia hujaweka!! Au mpaka uombwe uweke ndio uweke? Mkuu uko serious kweli?
Contacts: 0654409392Mbona unaandika kama unakimbizwa? namba hujaweka, level ya elimu hujaweka, uzoefu wako hujaweka, unaweza fanya kazi kwenye field gani pia hujaweka!! Au mpaka uombwe uweke ndio uweke? Mkuu uko serious kweli?
aisee, pole sananimeacha hapo kutokana na ugumu wa mazingira ya kazi walikuwa hawanilipi hata Mia
Shukran sanaaaisee, pole sana
Mkuu; Nimeandika In short na km ukisoma vzr hayo uliyoyauliza yapo kasoro uzoefu: okay
Nimemaliza Mbeya University of Science and Technology course ni bachelor degree of Electrical and electronics Engineering mwaka 2019;
Ninauzoefu wa field TANESCO na viwandani na Wiring za majumbani pia nafaham; Pia baada ya kumaliza nimefanya kazi kwa kujitolea kwenye kiwanda Cha MW rice Miller hapa Morogoro kwa muda wa miez 4,,,,nimeacha hapo kutokana na ugumu wa mazingira ya kazi walikuwa hawanilipi hata Mia,,,,kwasasa nipo mtaani Sina kazi yyt natafuta,,
Form six mkuuSamahani umetokea diploma au six?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Samahani kwa kuingilia uzi wa bwana Mkubwa ila kama utawiwa kunisaidia pia namm ntashukuru mimi pia natafuta ajira walau nipate chochote Nina diploma ya umeme nimemaliza muda kidgo.Samahani umetokea diploma au six?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naam kaka bila samahan....Wote ni Wahanga hakuna tatizo!Samahani kwa kuingilia uzi wa bwana Mkubwa ila kama utawiwa kunisaidia pia namm ntashukuru mimi pia natafuta ajira walau nipate chochote Nina diploma ya umeme nimemaliza muda kidgo.