Natafuta kazi nimesomea Project Planning, Management and Community Development

Kwa umri huo, ni vyema ukaanza pia kuwaza plan B ya kujiajiri. Badala ya kuendelea tu kuipambania ajira ambayo hata haijulikani itakuja lini!
All in all, pole sana. Nakutakia kila la heri kwenye safari yako ya maisha.

Ukifanikiwa kupata litakuwa ni jambo jema zaidi.
 
Unatafuta Kazi au unatafuta Ajira?
 
Kama unatafuta ajira na upo teyari kulinda....ebu njoo gardaword....ila hakikisha wewe ni mrefu...uwe na cheti cha kuzaliwa na kitambulisho cha nida...bila kusahau TIN...Ofisi zipo mikocheni kwa mwinyi mshahala kimo cha chini ni 250k
 
Ni kweli CV hajui kuiandika .CV yaweza mkosesha kazi uandishi mbovu sana

Anyway swali kwake kwa nini aliacha kazi serengeti breweries?
Ni kwa sababu hujui kusoma hiyo CV ndio maana inakupa shida. na hujui imeandikwa kwa version gani.. pia usikariri uandishi wa CV,. Next time try to think before comment.
 
Ni kwa sababu hujui kusoma hiyo CV ndio maana inakupa shida. na hujui imeandikwa kwa version gani.. pia usikariri uandishi wa CV,. Next time try to think before comment.
kama uko serious unahitaji kumsaidia mtu, utaweka effort yako kwenye kumsaidia, usiingie mtandaoni kujaribu kukejeli nani kafanya nini na nani anapitia nini, do not ask unnecessary questions.
 


Acha ujinga, Kama hujui kuandika CV omba msaada usaidiwe

CV yako mbovu, una miaka 8 ika CV kama ya mtu anaemaliza chuo leo

Afu unanifata PM kuniambia pumba hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…