Tommy 911 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 644 Reaction score 582 Apr 10, 2026 #1 Habari Wana jf. Mimi ni mwajiriwa kutokana na maslahi madogo natafuta kazi field ya chemistry. Nina uzoefu kwenye steel industry mwaka mmoja na nusu.
Habari Wana jf. Mimi ni mwajiriwa kutokana na maslahi madogo natafuta kazi field ya chemistry. Nina uzoefu kwenye steel industry mwaka mmoja na nusu.
ShesRise_1 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 22,235 Reaction score 51,111 Apr 10, 2026 #2 Kila la kheri
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,206 Reaction score 27,987 Apr 10, 2026 #4 Muajiriwa alafu unqtafuta ajira?
Tommy 911 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 644 Reaction score 582 Apr 10, 2026 Thread starter #5 Kalaga Baho Nongwa said: Muajiriwa alafu unqtafuta ajira? Click to expand... Maslahi ndugu
NYOLODO JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 12,206 Reaction score 27,987 Apr 10, 2026 #6 Tommy 911 said: Maslahi ndugu Click to expand... Kwq mkakat unaotumia huu itakuwq ngum kufanya transformation. Jipinde uongeze na kujiajir iuu yake mana ajira jf ya siku hiz mtihan kidogo. Sio kama miaka ile
Tommy 911 said: Maslahi ndugu Click to expand... Kwq mkakat unaotumia huu itakuwq ngum kufanya transformation. Jipinde uongeze na kujiajir iuu yake mana ajira jf ya siku hiz mtihan kidogo. Sio kama miaka ile
S Soulja boy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2015 Posts 4,818 Reaction score 8,451 Apr 12, 2026 #7 Tommy 911 said: Maslahi ndugu Click to expand... Unalipwa shingap?
Tommy 911 JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 644 Reaction score 582 Apr 12, 2026 Thread starter #8 P Soulja boy said: Unalipwa shingap? Click to expand... Ela ndogo