Natafuta kazi, nina cheti cheti cha Kidato cha Nne

Natafuta kazi, nina cheti cheti cha Kidato cha Nne

Peter_John

Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
53
Reaction score
91
Habari za wakati huu Wana JamiiForums wote.

Naitwa Peter John, Nina umri wa miaka 20, nimehitimu kidato cha nne mwaka 2020 na kupata ufaulu wa daraja la 2.

Natafuta kazi yoyote ya halali Kama vile kazi za viwandani, usafi maofisini/nyumbani ama yoyote ile ya halali

Nipo Dar es Salaam, maeneo ya Kawe.

Mawasiliano: 0744925496
 
Kwanini hukuomba hizi nafasi za JKT au cyo kipaumbele chako[emoji1][emoji1]
 
Kwanini hukuomba hizi nafasi za JKT au cyo kipaumbele chako[emoji1][emoji1]
Kwa muda huo nilikua chuo, Ila nilishindwa kuendelea kwa sababu ya changamoto ya kutokamilisha ada kwa sasa sidhani Kama bado nafasi zipo
 
Pita hapa mkuu[emoji115][emoji116][emoji116]Kila la kheri
IMG_20220913_114636_158.jpg
 
Back
Top Bottom