Natafuta kazi, nina degree ya Bsc Environmental science and Management (SUA)

Natafuta kazi, nina degree ya Bsc Environmental science and Management (SUA)

Mkuu panua wigo wako,usitegemee hapa Tanzania,fikiria hata nje ya nchi yetu,shahada hiyo hapo Namibia,Botswana ni critical skill jitahidi kuingia kwenye websites za nchi hizo na kuzifikia pia sio shida kubwa ni kujiandaa kisaikolojia,lamba IT mpaka kapiri Mposhi (zambia)pale kuna trunks nyingi tu zinazokwenda Namibia au SA kupitia Kazungula bridge.Good luck
 
Naomba unisaidie hizo website za Namibia na Botswana
 
stockholm germany naweza kuifahamu ndg.?
 
Huko ni sehemu ambapo waliokua wana ongoza huo mjadala( online conference) wametokea
 
Habari ndugu zangu,

Husika na kichwaa cha habari hapo juu natafuta kazi ata ya internship ili nipate japo pesa ya kujikimu na maisha.

Namba ya simu 0712730570

Email: louisfussi1999@gmail.com
Ndugu zangu naombeni kazi yoyote, Maana maisha ni magumu kwangu.. Nina leseni ya udereva tofauti na hio degree pia nimeendesha taxi bubu moshi miezi mitatu lakini sahivi sina gari wala sehemu pakujitolea sijapata .. NAOMBENI MSAADA WENU..
 
Back
Top Bottom