Natafuta kazi nina degree ya Ualimu masomo ya Physics na Chemistry

[emoji23][emoji23] tayari kiongozi unaweza kuangalia hapo
Mwalimu.,..sa ivi ndio umeandika aisee mtu anapata full information humu jamii forms Kuna watu wapo Idara ya Elimu ngazi ya Taifa "trust I tell you" ngoja waje mi naiman lazm Utapata connection tyu.
Mkuu" ..
 
[emoji23][emoji23] tayari kiongozi unaweza kuangalia hapo
Lakn pia Kama upo Jijin mwanza apo Thaqaffa huwa wanatafta walimu wa physics and chemistry kwa sana yan Amna walimu wa science apo nakushauri andika Barua afu nenda nayo physically:" hakika hutojuta
 
Lakn pia Kama upo Jijin mwanza apo Thaqaffa huwa wanatafta walimu wa physics and chemistry kwa sana yan Amna walimu wa science apo nakushauri andika Barua afu nenda nayo physically:"
Sawa nitafanya hivyo nilisoma hapo form 3 na 4 walimu wengi pale hawana professional hiyo ya ualimu wengi ni ma engineer na wahasibu nitaenda kujaribu hopeful nitapata.
 
Wakuu bado sijapata aisee
 
Tafuta shule ya jaffery academy ya Arusha ya wahindi watakuchukua ba wanalipa vizuri. Tembelea www.mabumbe.com ,teaching posts utakuta contacts zao, we omba hata kama muda umeshaisha
 
cc: Rais wa Jamuhuri Ya Muungano - Tanzania (Ndg. John Pombe Joseph Magufuli).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…