Natafuta kazi, nina diplom ya Uandishi wa habari

Natafuta kazi, nina diplom ya Uandishi wa habari

Kama upo vizuri, kwenye kiingereza wajaribu Tanzania Digest, walikuwa wanatafuta waandishi wa kujitolea.

Pili, usijifunge Kwa Tanzania tu, kuna hawa wanaitwa Vocal media: [Vocal] ukiandika makala nzuri ikakubalika wanakulipa kadri inavyokuwa inasomwa na watu.

Tatu, jaribu kujiendeleza zaidi kuna vyuo online vinatoa kozi za bure kwenye content writing, search online utapata. Ukiwa nondo kwenye eneo hili unaweza kufanya kazi za uandishi online ukajipatia fedha..
Mfano hawa: Free Content Writing Courses - Free courses | Great Learning
 
Back
Top Bottom