Natafuta kazi, nina Diploma ya Banking and Finance

Natafuta kazi, nina Diploma ya Banking and Finance

Mzee wa GOMBO

Member
Joined
Dec 13, 2021
Posts
5
Reaction score
1
Habari!

Naomba mnisaidie kupata kazi wana jf, nimehitimu diploma ya masomo ya banking and finance lakini sijafanikiwa kupata kazi, ninaweza kazi za bank, assistant accountant pia nimekuwa cashier Kwa wakala wa Mabasi yaendayo kasi DAR (DART)

Nipo DAR ES SALAAM naomba mnisaidie kupata kazi.

Mawasiliano:0657111972
Asante,chini nimeambatanisha na vyeti vyangu
 
kampuni ya ulinzi ya gardaworld wanatafuta mtu wa saleskama upo willing kufanya kazi kwenye kampuni hiyo waweza kuwapelekea vyeti vyako pamoja na barua ya maombi pale ofisini kwao huko kwa mwinyi mikocheni...
 
Upo wapi?? Tuma maombi UBA branch ya Mwanza kuna kipindi walikua wanatafuta watu mdogo wangu kapata hapo.
 
Nipo tayari ila naomba mawasiliano yako ili unielekeze vyema namna ya kufika,,au mawasiliano yangu ni 0657111972
Asante
 
Upo wapi?? Tuma maombi UBA branch ya Mwanza kuna kipindi walikua wanatafuta watu mdogo wangu kapata hapo.
Nipo DAR ES SALAAM naomba mawasiliano yako kwa maelekezo ya anuani pamoja na utaratibu mzima wa kutuma
 
Upo wapi?? Tuma maombi UBA branch ya Mwanza kuna kipindi walikua wanatafuta watu mdogo wangu kapata hapo.
Nipo DAR ES SALAAM naomba mawasiliano yako kwa maelekezo ya anuani pamoja na utaratibu mzima wa kutuma au mawasiliano yangu 0657111972
 
we jamaa unaomba kazi au mawasiliano ya watu?
Mkuu kwani ni vibaya kuomba kwaajili ya KUELEKEZWA mkuu maana maeneo yaliyotajwa yote mimi ni mgeni nayo au la kama unayafaham hayo maeneo unaweza nisaidia.
Siyo kila mtu anaomba mawasiliano kwa vitu unavovifikria wewe vya negative tu sipo jf kwaajili ya kutaka mawasiliano ya watu lkn ni kwa vile wametokea kunisaidia basi kuelekezwa siyo mbaya,kama unafahamu address za hayo maeneo pamoja location zake vzr karibu unielekeze
 
Back
Top Bottom