pombesichai254
New Member
- Sep 3, 2022
- 3
- 1
Ndugu ni matumaini yangu ni wazima.
Kwa majina, naitwa KELVIN GODFREY, jinsia ni mwanaume wa miaka 25. Ni mhitimu kozi ya kilimo na mifugo(diploma).
Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba aweze kunipa hata kama ndo inaanza au ya kuanzisha
UZOEFU WANGU WAKAZI.
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka miwili wakufanya kazi kwenye mashamba makubwa ya korosho Singida
Pia nina zaidi ya mwaka na nusu nafanya kazi kwenye ufugaji wa kuku kibiashara (kuku wa nyama na mayai) na miradi ya nguruwe
UWEZO WANGU WA KUFANYAKAZI
nina uwezo wa mkubwa na kutosha kufanya kazi kwa vitendo kwa mazingira rafiki..
Mawasiliano tafadhari ni DM
asanteni.