Natafuta kazi, nina Diploma ya Music Production

Joined
May 20, 2020
Posts
6
Reaction score
2
Nmemaliza chuo tangu 2020
Nina diploma ya Music production.

Ni kijana wa miaka 23
Na weza kucheza baadhi ya Instrument Keyboard, guiter Acoustic, solo guiter, Bass guiter pia ni Mwalimu mzuri kwa watu wenye interest ya Kujifunza.

Naweza kufundisha Watoto kwa wenye uhitaji wa kujifunza Muziki
Kwaiyo Ndugu zangu wa JF kam kuna mtu bend au kanisa even studio inatafuta Mtu wa Usimamizi wa maswala ya Music Anaweza kunicheki natanguliza Shukrani zanguβœŠπŸ™πŸ™πŸ™
0688136549
Dar es salaam
 
Ebu ingia kwenye hii app then jisajiri inaitwa Silabu.
 
Nenda kwa master J pale uombe kupata uzoefu baadaye ufungue studio yako
 
Andika Proposal yako nzuri kisha peleka katika Mabenki ili uombe Mkopo uanzishe Chuo chako ujilipe na uwalipe na Wao.
 
Jaribu kucheki kwenye hizi shule za English medium wanaweza kuwa na program za kufundisha Music...huwa kuna vile vipindi vinaotwa "Option".
 

Nenda Congo ( DRC)
 
Umesoma chuo Gani?
Diploma ya music production??
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…