Isaya mwakyoma8
Member
- Dec 15, 2015
- 7
- 5
Jamani nimekuja kwa mara nyingine tena . Hali imekuwa tete natafuta kazi. niko tayari kufanya kazi popote elimu yangu kidato cha nne. Umri miaka 26 naishi Keko Mwanga.
Kazi za awali nilizo wahi kufanya
1. Kuongoza mashine ya kusaga nafaka mahindi kwa miaka 7.
2. Nimekuwa afisa mikopo kwa wajasiliamali wadogo wadogo kwa miaka 2.
3. Stationary miezi 6.
0693019398
Kazi za awali nilizo wahi kufanya
1. Kuongoza mashine ya kusaga nafaka mahindi kwa miaka 7.
2. Nimekuwa afisa mikopo kwa wajasiliamali wadogo wadogo kwa miaka 2.
3. Stationary miezi 6.
0693019398