Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha sita

Natafuta kazi nina elimu ya kidato cha sita

Account1

Member
Joined
Sep 10, 2020
Posts
20
Reaction score
20
Habarini wakuu,

Elimu yangu ni form six
Jinsia ni ke

Nimejitokezak kwenu kutafuta kazi yoyote halali
  • Kufundisha(naweza kufundisha masomo yote except physics) kwa O-level
  • Kufundisha primary /nursery
  • Upishi pia naweza
  • Kaunta
  • Hata uhasibu naweza mahesabu

Kazi yoyote halali naweza kufanya
Naombeni tu msaada wenu wakuu nipo Mwanza
 
Unaweza kuandaa financial Statements Wewe? Uko wapi?
 
Habarini wakuu,

Elimu yangu ni form six
Jinsia ni ke

Nimejitokezak kwenu kutafuta kazi yoyote halali
  • Kufundisha(naweza kufundisha masomo yote except physics) kwa O-level
  • Kufundisha primary /nursery
  • Upishi pia naweza
  • Kaunta
  • Hata uhasibu naweza mahesabu

Kazi yoyote halali naweza kufanya
Naombeni tu msaada wenu wakuu nipo Mwanza
weka namba zako
 
Back
Top Bottom