Ndio naweza bila shidaUnaweza kuandaa financial Statements Wewe? Uko wapi?
We ni muongo!Ndio naweza bila shida
Sawa labda nimeelewa tofauti na ulichomaanishaWe ni muongo!
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Sawa labda nimeelewa tofauti na ulichomaanisha
The Young man is so desperate[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
AsanteUfadhili Wa Mafunzo ya Ufundi Stadi
Ofisi ya Waziri Mkuu imetangaza kutoa ufadhili wa nafasi zaidi ya 12,000 katika fani mbalimbali za ufundi stadi. Fursa hii tuichangamkie vijana. Fungua attachment kwa maelezo zaidi. Pia unaweza kutembelea tovuti hii. www.kazi.go.tzwww.jamiiforums.com
Karibu.Asante
Upo mkoa gani?Bado natafuta wakuu
Nipo mwanzaUpo mkoa gani?
Nipo dsm. Nipigie 0672673161Unaweza kuandaa financial Statements Wewe? Uko wapi?
Dogo nikikupa mchongo wa kunitafutia mazao utaweza?Nipo mwanza
Kikubwa ni maelewano mkuuDogo nikikupa mchongo wa kunitafutia mazao utaweza?
Nataka niwenayasogeza nchi jirani.
Habari natafuta kazi ya ualimu nipo dar masomo ya mathematics,civic and moral,social studies mawasiliano yangu 0714954609Kikubwa ni maelewano mkuu
weka namba zakoHabarini wakuu,
Elimu yangu ni form six
Jinsia ni ke
Nimejitokezak kwenu kutafuta kazi yoyote halali
- Kufundisha(naweza kufundisha masomo yote except physics) kwa O-level
- Kufundisha primary /nursery
- Upishi pia naweza
- Kaunta
- Hata uhasibu naweza mahesabu
Kazi yoyote halali naweza kufanya
Naombeni tu msaada wenu wakuu nipo Mwanza
weka namba zako