Habari zenu ndugu zangu!
Mimi ni kijana (ME) mwenye umri wa miaka 23, naishi Dar es salaam, Elimu yangu-Shahada ya usimamizi wa rasilimali watu ( Bachelor degree in Human resource management).
Natafuta kazi itakayo nipatia kipato cha halali, kazi ambazo ninaweza kuzifanya ni kama ifuatavyo; Human Resource Officer, Administrative Officer, Project Supervisor, Shopkeeper, Store Supervisor na bila kusahau ninauwezo wa kufanya as a casual labour viwandani, site n.k.
Naombeni msaada wenu ndugu zangu, kama umeguswa na una nafasi ya kunisaidia PM kwa mawasiliano zaidi.
Ahsanteni.