Natafuta kazi, nina Shahada ya Utunzaji Fedha

Natafuta kazi, nina Shahada ya Utunzaji Fedha

sekyy

Member
Joined
Aug 9, 2021
Posts
21
Reaction score
12
Wapendwa mimi ni binti wa miaka 25 naishi kibaha nipo mbele yenu nikiomba ajira mnisaidie naamini humu kuna watu mbali mbali pls nikomboeni mimi 😭.

Elimu yangu ni stashahada ya utunzaji fedha (niwe mkweli sijawahi fanya hii kazi toka nimalize chuo sijafanikiwa kupata kazi ya fani yangu) ila ni muelewa nafundishika.

Kazi nilowai fanya kwa kujitolea ni store keeper hii nina udhoefu nayo sana kwa miaka 2.

Lakini pia customer server yaani kitengo cha mapokezi pia nimefanya.

Nipo mbele zenu nikiomba mnisaidie sichagui mahali pa kwenda popote naenda 🙏🙏

Asanteni
 
Unakuja kupata muongozo kutoka kwa wakulungwa Mungu akutangulie.
 


Sawa Tulia Hapa Hapa Waajiri Wanakuja Haraka Sana Utapata Ufumbuzi Haraka Sana ​


Vp Huku Uliomba:-
IMMIGRATION
PCCB
PRISON
POLICE
FIRE
BOT
TRA
TANAPA
 
  • Thanks
Reactions: Lee

​

Sawa Tulia Hapa Hapa Waajiri Wanakuja Haraka Sana Utapata Ufumbuzi Haraka Sana ​


Vp Huku Uliomba:-
IMMIGRATION
PCCB
PRISON
POLICE
FIRE
BOT
TRA
TANAPA
Nimeomba TRA na Takukuru
 
Back
Top Bottom