Natafuta kazi/ nina uhitaji wa kazi

Natafuta kazi/ nina uhitaji wa kazi

Blecjohn

New Member
Joined
Jan 18, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Habari za wakati huu Wana JF, naitwa bless nina miaka 24, elimu yangu kidato Cha 6. Natafuta kazi viwandani, supermarket au kampuni binafsi nina uzoefu na u- cashier yeyote ataeweza nisaidia nitamshukuru,, nipo DSM.
 
pamoja na kuwa unaweza kupata kazi humu, toka nje tembelea hizi sehemu ulizoandika hapa, omba kumuona meneja au HR, acha CV yako hapo.
 
weka profile yako na mawasiliano yako. Watafutaji ni wengi sana na ni ngumu mtu kukufuata DM. changamka kijana, fursa hazikufuati.

anyway, ni ushauri tu
 
Habari za wakati huu Wana JF, naitwa bless nina miaka 24, elimu yangu kidato Cha 6. Natafuta kazi viwandani, supermarket au kampuni binafsi nina uzoefu na u- cashier yeyote ataeweza nisaidia nitamshukuru,, nipo DSM.
Mbona hakuna mawasiliano?
 
Back
Top Bottom