NATAFUTA KAZI-NINA UZOEFU WA ZAIDI YA MIAKA 8.

icca

Senior Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
185
Reaction score
175
Habarini Wana jukwaa.
Nimekuja mbele Leo kutafuta connection, Network ya kazi.

Nina uzoefu wa miaka 8 kazi za Administration, procurement and logistics.

Nina uzoefu nmefanya kazi kwenye Mashirika na pia kwenye sekta binafsi.
Nipo tahari kufanya kazi mahali popote.
Kwa Maelezo zaidi pamoja na CV, PM yangu ipo wazi.

Ahsanteni.
Muwe na wakati mwema.
 
Miaka yote hiyo...??watu sshv wanaogopa kuajiri watu wenye uzofu mkubwa make atajua unataka pesa nyingi sana....ila miaka yote hiyo ungenunua hata bajaji Yako ukajiajiri tu ..make uku mtaan ajira hamna
 
Afanyie kazi ushauri wako.
 
Ongeza ujuzi wa ziada, mfano ufundi seremala, cherehani n.k
 
Habarini Wana jukwaa.
Nimekuja mbele Leo kutafuta connection, Network ya kazi.

Nina uzoefu wa miaka 8 kazi za Administration, procurement and logistics.

Nina uzoefu nmefanya kazi kwenye Mashirika na pia kwenye sekta binafsi.
Nipo tahari kufanya kazi mahali popote.
Kwa Maelezo zaidi pamoja na CV, PM yangu ipo wazi.

Ahsanteni.
Muwe na wakati mwema.
Logistics upande ganj
 
Kuna mwenzako huyo bado anatafuta kazi ya kuwa kijana ccm
IMG_0612.jpeg
 
Back
Top Bottom