Afanyie kazi ushauri wako.Miaka yote hiyo...??watu sshv wanaogopa kuajiri watu wenye uzofu mkubwa make atajua unataka pesa nyingi sana....ila miaka yote hiyo ungenunua hata bajaji Yako ukajiajiri tu ..make uku mtaan ajira hamna
Logistics upande ganjHabarini Wana jukwaa.
Nimekuja mbele Leo kutafuta connection, Network ya kazi.
Nina uzoefu wa miaka 8 kazi za Administration, procurement and logistics.
Nina uzoefu nmefanya kazi kwenye Mashirika na pia kwenye sekta binafsi.
Nipo tahari kufanya kazi mahali popote.
Kwa Maelezo zaidi pamoja na CV, PM yangu ipo wazi.
Ahsanteni.
Muwe na wakati mwema.
Kuwa tahari ndo niniNipo tahari kufanya kazi mahali popote.
Hata PM zetu pia zipo waziPM yangu ipo wazi.