Natafuta kazi, nipo Dar es salaam

Natafuta kazi, nipo Dar es salaam

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,329
Reaction score
2,644
Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika mambo ya ugavi.

Nimekuja kwenu kuomba kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kazi ili niweze kujikimu maana kila leo ni afadhali ya jana.

Kazi yoyote halali nitaipokea.
 
nenda kariakoo, kakae na jamaa yoyote anayemwaga biashara kama wiki hivi, kisha lete mrejesho hapa. nimekupa fumbo hilo
Sawa, ila si vibaya kama ungenipa vidokezo maana kwa kariakoo kwenda kukaa kwa mtu anaweza akakuchukulia tofauti, kama kuhisiwa ni kibaka nk.
 
Back
Top Bottom