S Socw JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 1,329 Reaction score 2,644 Aug 10, 2022 #1 Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika mambo ya ugavi. Nimekuja kwenu kuomba kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kazi ili niweze kujikimu maana kila leo ni afadhali ya jana. Kazi yoyote halali nitaipokea.
Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza katika mambo ya ugavi. Nimekuja kwenu kuomba kama kuna yeyote anaweza kunisaidia kazi ili niweze kujikimu maana kila leo ni afadhali ya jana. Kazi yoyote halali nitaipokea.
Statics JF-Expert Member Joined Dec 29, 2017 Posts 394 Reaction score 1,015 Aug 10, 2022 #2 Kila la kheri
T TEMBO WANGU JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 930 Reaction score 1,290 Aug 10, 2022 #3 nenda kariakoo, kakae na jamaa yoyote anayemwaga biashara kama wiki hivi, kisha lete mrejesho hapa. nimekupa fumbo hilo
nenda kariakoo, kakae na jamaa yoyote anayemwaga biashara kama wiki hivi, kisha lete mrejesho hapa. nimekupa fumbo hilo
S Socw JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 1,329 Reaction score 2,644 Aug 10, 2022 Thread starter #4 TEMBO WANGU said: nenda kariakoo, kakae na jamaa yoyote anayemwaga biashara kama wiki hivi, kisha lete mrejesho hapa. nimekupa fumbo hilo Click to expand... Sawa, ila si vibaya kama ungenipa vidokezo maana kwa kariakoo kwenda kukaa kwa mtu anaweza akakuchukulia tofauti, kama kuhisiwa ni kibaka nk.
TEMBO WANGU said: nenda kariakoo, kakae na jamaa yoyote anayemwaga biashara kama wiki hivi, kisha lete mrejesho hapa. nimekupa fumbo hilo Click to expand... Sawa, ila si vibaya kama ungenipa vidokezo maana kwa kariakoo kwenda kukaa kwa mtu anaweza akakuchukulia tofauti, kama kuhisiwa ni kibaka nk.
J Just a person JF-Expert Member Joined May 16, 2022 Posts 984 Reaction score 1,232 Aug 10, 2022 #5 Socw said: Sawa, ila si vibaya kama ungenipa vidokezo maana kwa kariakoo kwenda kukaa kwa mtu anaweza akakuchukulia tofauti, kama kuhisiwa ni kibaka nk. Click to expand... True
Socw said: Sawa, ila si vibaya kama ungenipa vidokezo maana kwa kariakoo kwenda kukaa kwa mtu anaweza akakuchukulia tofauti, kama kuhisiwa ni kibaka nk. Click to expand... True